I would like to combine both Form 6 leavers and Diploma holder in Recognition of the course selecting in level of degree 2019
NAPENDA KUKARIBISHA MASWALI, MIJADALA NA HOJA MBALIMBALI KUSAIDIA NDUGU ZETU UNDERGRADUATE KATIKA HATMA YAO YA MASOMO YA NGAZI YA JUU [Comment Your Advice in Comment box Below]
1.Guidance for kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCB na Diploma zinazo relate na hii combination
All field of Engineering hasa
3.Guidance for Combinations of CBG & CBA na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENYE TAHASUSI YA PCB ISIPOKUWA (M. D)
4.Guidance for Combination ya PGM na kozi za diploma zinazo relate nayo
ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENY TAHASUSI YA PCM Pia kozi zengine ni Kama Aircraft Maintenance Engineering but Ada yake Iko juu sana
Read Also=>>>TCU:Procedures How To Apply University 2019/2020
5.Guidance for kozi za kuchagua kwa Tahasusi Ya EGM & HGE Na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
6.Guidance for kozi za kuchagua kwa Tahasusi za HGL, HGK & HKL na diploma zinazo relate na hii Tahasusi
- Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level na kwa diploma holder
- Marketable course in terms of Employment opportunities
- Future market ya kozi husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama Tanzania
- Changamoto husika ya kozi kwa vyuo mbalimbali Tanzania
- Competition iliyopo Katika uchaguzi wa kozi Mbalimbali
NAPENDA KUKARIBISHA MASWALI, MIJADALA NA HOJA MBALIMBALI KUSAIDIA NDUGU ZETU UNDERGRADUATE KATIKA HATMA YAO YA MASOMO YA NGAZI YA JUU [Comment Your Advice in Comment box Below]
1.Guidance for kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCB na Diploma zinazo relate na hii combination
- Doctor of medicine Ina high competition kwa Vyuo vyote Kama ufaulu mdomo kuwa Makin katika kuichagua
- Bsc. Pharmacy
- Bsc. Nursing
- Bsc. Medical laboratory science
- Bsc. Microbiology
- Bsc. Molecular biology & Biotechnology
- Bsc. Biotechnology & Laboratory science
- Bsc. Food science & Technology
- Bsc. Agronomy
- Bsc. Animal science & production
- Bsc. Wildlife management
- Bsc. Veterinary medicine
- Bsc. Forestry
- Bsc. Agricultural general
- Bsc. With Education
All field of Engineering hasa
- Civil Eng,
- Mechanical Eng,
- Electronics & Telecommunications Eng,
- Electrical Eng,Computer Eng,
- Agricultural Eng, Irrigation & Water resource Eng,
- architecture, Quantity Survey, Geomatics,
- Actuarialscience, Computer science, ICT,
- Chemical & Processing Eng
- Petroleum geology, petroleum engineering, petroleum chemistry
- Geology,
- Engineering geology
- Bsc. With Education
Read Also=>>>TCU Tanzania- Admissions Almanac for 2019/2020
ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENYE TAHASUSI YA PCB ISIPOKUWA (M. D)
4.Guidance for Combination ya PGM na kozi za diploma zinazo relate nayo
ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENY TAHASUSI YA PCM Pia kozi zengine ni Kama Aircraft Maintenance Engineering but Ada yake Iko juu sana
Read Also=>>>TCU:Procedures How To Apply University 2019/2020
5.Guidance for kozi za kuchagua kwa Tahasusi Ya EGM & HGE Na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
- Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
- Bsc. Building Econmics
- Bsc. Actuarialscience
- Bsc. Irrigation & Water res Eng, Agricultural Eng (O level Science)
- Bsc. Architecture
- B. A Economics & Statistics
- Bsc. Computer science, Bsc ICT
- B.A land management & Valuation
- B. A Economics
- B. A Accounting & Finance
- Bsc. With Education
- MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya ECA na diploma zinazo relate nazo
- Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
- B. A accounting & Finance
- B Business Administrator ( Accounting & Finance)
- B Banking&Finance, B Economics & Finance, B Procurement & Logistic Supply/Mgt
- B. A with Education
6.Guidance for kozi za kuchagua kwa Tahasusi za HGL, HGK & HKL na diploma zinazo relate na hii Tahasusi
- LL. B (B. Law)
- B. Land management & Valuation
- B. A Human resource management
- All kozi relate with community development & Planning
- B. A with Education
Comments
Post a Comment